Angalia Video Daktari ‘Muuaji wa Vichanga’ Anaswa!

ASIKWAMBIE mtu, baadhi ya matukio yanayotokea Bongo yanatisha, kuna daktari mmoja amenaswa akituhumiwa ‘kuua vichanga’ katika zahanati yake iliyopo Sinza Mori jijini Dar es Salaam.
Mpango wa kumnasa daktari huyo maarufu kwa jina la Dokta Awadhi Juma (40), ulisukwa hivi karibuni kwa ustadi na kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers kwa kushirikiana na polisi baada ya taarifa zake za kuwatoa wanawake mimba kwa wingi kuvuja.Yaani pale kuanzia asubuhi mpaka usiku, wanawake wamekuwa wakijipanga foleni kutoa mimba tu.Lakini ukifika nje ya hicho kizahanati, utakutana na bango limeandikwa wanatibu na kung’oa meno lakini yote hiyo ni zuga tu, ndani yanafanyika mauaji ya watoto kuliko kawaida. Chanzo chetu kilisema na kuomba OFM kufanya uchunguzi. BOFYA HAPA

No comments

Powered by Blogger.